
MKALI WA PASI ZA MWISHO BONGO ATUMA UJUMBE HUU
MKALI wa pasi za mwisho Bongo ambaye yupo ndani ya kikosi cha Simba kwa sasa amebainisha kuwa wapo tayari kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa na mwamuzi akiwa ni Ramadhan Kayoko. Kwenye kutoa pasi za mwisho ndani ya Simba ni kiungo Jean Ahoua ambaye katoa pasi…