CHAMA MZEE WA MAAMUZI MAGUMU

KIUNGO wa Yanga, Clatous Chama ni yuleyule wa maamuzi magumu kwenye mechi ambazo anapewa nafasi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Oktoba 22 2024 alifunga bao lake la kwanza kwenye ligi kwa pigo la faulo akiwa nje ya 18 mbele ya JKT Tanzania na alitoa pasi moja dakika ya 23 kwa…

Read More

WALICHOFANYA MASTAA WA SIMBA NA TANZANIA PRISONS

MASTAA wa Tanzania Prisons na Simba walikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Oktoba 22 Uwanja wa Sokoine baada ya dakika 90 ubao ukasoma Tanzania Prisons 0-1 Simba. Kila nyota alifanya kazi kubwa kutimiza majukumu yake na hapa tunakuletea baadhi ya walichofanya mastaa wa timu hizo namna hii:-…

Read More

MAKIPA BONGO MAKOSA YAO YANAWAADHIBU

KWENYE mechi mbili mfululizo, Mussa Mbisa kipa namba moja wa Tanzania Prisons amefanya kosa moja lililoigharimu timu kufungwa bao moja. Rekodi zinaonyesha kuwa mchezo dhidi ya Azam FC Uwanja wa Sokoine alifungwa bao moja kwa kosa la kutema mpira mtupiaji alikuwa Idd Nado dakika ya 11 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Sokoine…

Read More

MIHELA YAKO IPO RICH PANDA LEO

Unataka kushinda mihela? Basi suluhisho ni moja tu kucheza mchezo wa Rich Panda ambao utakupa fursa hiyo na kuifanya wiki yako kua  ya kibabe na sio ya kutia huruma cheza mchezo huu leo ushinde. Mchezo huu wa Rich Panda unatoa nafasi kubwa ya kuweza kushinda kitita kutokana na namna rahisi ya kuweza kucheza mchezo huu,…

Read More

YANGA WAWATULIZA JKT TANZANIA

MCHORA ramani wa Yanga, Kocha Mkuu Miguel Gamondi amekiongoza kikosi hicho kusepa na pointi tatu za wajeda JKT Tanzania kwa ushindi wa mabao 2-0. Mabao yamefungwa na Pacome dakika ya 23 na Clatous Chama dakika ya 43 kwa pigo la faulo akitumia mguu wa kulia akiwa nje ya 18. Katika mchezo huo JKT Tanzania nyota…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA JKT TANZANIA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa ligi dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex,. Hiki hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza kipo namna hii:-Clement Mzize, Duke Abuya, Maxi, Sure Boy, Bakari Nondo ambaye ni nahodha, Job, Andambwile, Kibabage langoni yupo Diarra. Viungo Clatous Chama…

Read More

CHE MALONE APELEKA KILIO KWA WAJELAJELA

WAJELAJELA Tanzania Prisons wamepoteza mchezo wakiwa nyumbani mzunguko wa kwanza mbele ya Simba baada ya dakika 90 kukamilika. Bao pekee la ushindi limefungwa dakika ya 5 na Che Malone baada ya Mussa Mbisa kutema faulo akiwa ndani ya 18 iliyopigwa na Kibu Dennis. Baada ya bao hilo Prisons waliongeza umakini na kuongeza ulinzi hasa wakimzuia…

Read More

TANZANIA PRISONS V SIMBA NGOMA UWANJANI

FT: Tanzania Prisons 0-1 Simba Goal Che Malone WANAUME 22 wapo Uwanja wa Sokoine wakisaka pointi tatu kwenye mchezo wa ligi wenye ushindani mkubwa ikiwa ni msimu wa 2024/25. Tanzania Prisons imewakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi ambapo timu ya Simba mchezo uliopita ilipoteza dhidi ya Yanga na Prisons ilipoteza mbele ya Azam FC. Ilikuwa…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA TANZANIA PRISONS

BAADA ya kupoteza mchezo uliopita wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga Oktoba 19 2024 Simba itakuwa na kibarua kingine ugenini kwenye mchezo wa ligi. Itakuwa Uwanja wa Sokoine Mbeya, Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons ambayo nayo inazihitaji pia hizo pointi tatu. Kikosi cha kwanza kipo namna hii: Mussa…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS KUFUZU CHAN

Kocha ambaye atakiongoza kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya wachezaji wa Ligi ya ndani Bakar Shime, ameita wachezaji kwa ajili ya mchezo wa kwanza dhidi ya Sudan ambao unatarajiwa kuchezwa Oktoba 27, 2024 nchini Mauritania. Shime amesema, ameita wachezaji wengi kutoka timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ ilikuendelea…

Read More

SALEH JEMBE AMSHUSHA VYEO CHAMA – ”HAKUNA FREE KICK KALI PALE – MPIRA ULIKUWA UNATOKA”…

Mchambuzi mkongwe wa soka nchini Saleh Jembe, amefunguka kupitia Global TV, ameonyeshwa kutopendezwa na maamuzi mabovu yaliyofanywa na mwamuzi Ramadhani Kayoko, katika mchezo kati ya Simba na Yanga jumamosi iliyopita, akikiri kuwa Kwa mwamuzi wa viwango vya FIFA kama Kayoko haipendezi kufanya Maamuzi kama aliyoyafanya. Jembe amezungumza hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Global TV, ambapo…

Read More

SHINDA MAMILIONI KWA KUCHEZA RICH PANDA

Mchezo wa kukupa mamilioni ni mmoja tu mjini Rich Panda ndio habari ya mjini unaweza kunyakua maokoto ya kutosha kupitia mchezo huu kabambe wa kasino ambao kwasasa unapendwa na kutoa washindi wapya kila siku. Mchezo huu wa Rich Panda unatoa nafasi kubwa ya kuweza kushinda kitita kutokana na namna rahisi ya kuweza kucheza mchezo huu,…

Read More

MUSSA CAMARA KWENYE MTEGO MZITO

KIPA namba moja wa Simba, Mussa Camara yupo kwenye mtego mzito kurejesha hali ya kujiamini katika kikosi cha kwanza kutokana na mwendo ambao amekuwa nao kwa sasa. Ikumbukwe kwamba kipa huyo kwenye mechi nne mfululizo ambazo alianza kikosi cha kwanza katika mechi za Ligi Kuu Bara hakufungwa na alikuwa imara kwenye kucheza na kutoa maelekezo…

Read More

DJIGUI DIARRA ANA BALAA ZITO

KIPA wa Yanga Djigui Diarra ana balaa zito uwanjani kutokana na kasi yake ya kuokoa hatari ndani ya lango akicheza mechi tano mfululizo bila kufungwa. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Diarra alipishana na tuzo ya kipa bora ambayo ilikwenda mikononi mwa Ley Matampi ambaye msimu wa 2024/25 akiwa na Coastal Union hajawa katika ubora wake…

Read More