
MERIDIANBET YAJA NA PROMOSHENI YA KIBABE SANA
Wababe wa michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet safari hii wameamua kuwapa kipaumbele wateja wanaotumia mtandao wa Tigo Pesa kufanya miamala yao kwenda Meridianbet na kufanya ubashiri kwa kuwaletea promosheni ya Saka Bajaji na Tigo Pesa. Promosheni hii ya Saka Bajaji na Tigopesa itaanza tarehe 01 November 2024, na itaisha Desemba 31 2024 saa 5:59 usiku…