
AHOUA BADO ANAJITAFUTA HUKO UNYAMANI
LICHA ya kuwa namba moja kwenye wakali wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo mdhamini wake mkuu ni NBC huku kwa upande wa matangazo ikiwa ni Azam TV, kiungo Jean Ahoua bado anajitafuta kwa kuwa hajawa katika ubora wake. Nyota huyo ni namba pekee zinambeba lakini kwenye utendaji hasa timu inapokuwa…