Nafasi ya Kuwa Milionea na Meridianbet Ipo Hapa

Tandika jamvi lako la ushindi siku ya leo kwani mechi nyingi sana zinacheza leo. Unasubiri nini kutengeneza kipato chako cha maana?. Ingia www.meridianbet.co.tz Italia michezo ya SERIE A itaendelea kama kawaida ambapo Genoa atakiwasha dhidi ya Torino huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee huku mechi ya mwisho kuonana, walitoa suluhu. Leo…

Read More

SIMBA KWENYE HESABU NDEFU KIMATAIFA

MSHAMBULIAJI wa Simba Leonel Ateba ameweka wazi kuwa watapambana kutafuta ushindi kwenye mchezo wa kimataifa unaotarajiwa kuchezwa Jumapili, Desemba 8 2024. Simba kwa sasa ipo nchini Algeria kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya CS Constantine ambapo ni Aishi Manula aliyekuwa kwenye mpango wa safari alipata changamoto ya kiafya hivyo…

Read More

YANGA KWENYE PRESHA KISA KUPOTEZA, KAZINI KIMATAIFA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic ameweka wazi kuwa wapo kwenye presha kubwa kwa sasa kwenye mechi za kimataifa kutokana na kupoteza mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi dhidi ya Al Hilal lakini watapambana kupata matokeo mazuri. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza kwa Yanga katika hatua ya makundi walikuwa nyumbani na baada ya dakika…

Read More

WATUMISHI WAASWA KUJIANDAA MAPEMA KABLA YA KUSTAAFU

WATUMISHI wa magereza wameshauriwa kuwekeza kwa busara katika sekta mbalimbali wakiwa bado kazini, ili kujihakikishia maisha mazuri na endelevu baada ya kustaafu. Ikumbukwe kwamba kuna uwekezaji kwenye sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na michezo ambayo wapo wamiliki wa maduka ya vifaa vya michezo wanatengeneza mkwanja humo huku wakiwa wanaendelea na kazi pamoja na fursa mbalimbali…

Read More

PATA TSH 4,000,000/= KUTOKA KASINO YA MTANDAONI

Haiwezekani msimu huu wa Sikukuu Usiambulie chochote kutoka Meridianbet, ndugu jamaa na marafiki wafurahishe kwa kucheza kasino ya mtandaoni na michezo ya Bragg na ushinde mgao wa Tsh 4,000,000/= Promosheni inafanyika kwa mfumo wa mashindano kwenye michezo iliyochaguliwa iliyoandaliwa na Bragg (Gamomat, Atomic Slot Lab, Blue beri): scss Sticky Diamonds (GAM) Fruit Mania (GAM) Aura…

Read More

ARSENAL VS MAN UNITED KIPUTE CHA KUKUPA HELA LEO

Kunako ligi kuu ya Uingereza leo kitapigwa kipute kikali ambacho kinaweza kua fursa ya wewe kunyakua mkwanja pale Meridianbet kati ya klabu ya Arsenal dhidi ya Manchester United.   Arsenal leo watakua nyumbani kuikaribisha Man United kwenye dimba lao la Emirates ambapo washika mitutu wa London wakipewa nafasi nzuri zaidi ya kushinda mchezo huo, Huku…

Read More

YANGA HAO KAMILI KUWAKABILI WAARABU KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika leo wanatarajiwa kuwasili Algeria kwa maandalizi ya mwisho wa mchezo wao dhid ya MC Alger unaotarajiwa kuchezwa Desemba 7 2024. Msafara wa Yanga ulikwea pipa Bongo mapema Desemba 3 na walifika Dubai ambapo walipumzika. Miongoni mwa wachezaji waliopo katika msafara wa Yanga ni Khalid Aucho, Clement Mzize,…

Read More

WAKALI WA KUCHEKA NA NYAVU BONGO HAWA HAPA

KATIKA chati ya wakali wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Bara namba moja katika NBC Premier League ni Seleman Mwalimu kutoka Fountain Gate iliyofungua pazia la ligi kwa kucheza dhidi ya Simba mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Mwalimu ambaye ni mzawa katupia mabao 6 kibindoni anafuatiwa na Jean Ahoua wa Simba mwenye…

Read More