
WATU 124 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEGE KOREA KUSINI
Watu takriban 124 kati ya 181 hadi sasa wamethibitika kufariki dunia baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupata ajali na kudondoka wakati inatua katika uwanja wa ndege wa Muan nchini Korea Kusini ilipokuwa ikitokea Bangkok, Thailand. Video mbalimbali mtandaoni zinaonesha ajali hiyo ya ndege aina ya Boeing 737-800 inayosimamiwa na Shirika la ndege la Jeju Air,…