
SINGIDA BLACK STARS YAIPIGA MKWARA SIMBA
UONGOZI wa Singida Black Stars umeweka wazi kuwa upo tayari kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Desemba 28 2024 wanachohitaji ni pointi tatu muhimu. Singida Black Stars baada ya kucheza mechi 15 imepata ushindi kwenye 10 ikiambulia sare katika mechi 3 na kupoteza ni mechi mbili pekee ndani ya msimu wa 2024/25….