KIKOSI CHA JKT TANZANIA DHIDI YA SIMBA

JKT Tanzania inatarajiwa kushuka Uwanja wa KMC, Complex kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Simba. Mchezo uliopita JKT Tanzania iligawana pointi mojamoja na Namungo. Hiki hapa kikosi cha kazi cha JKT Tanzania kipo namna hii:- Yakoub Suleman, Salum Salum, Wilson Nagu, Said Hamis, Brayson David. Hassan Kapalata, Najim Maguru, Edson Kataga, Gamba Matiko, Shiza Ramadhan,…

Read More

ARNE SLOT NI TUNU NDANI YA LIVERPOOL

Je unajua kwasasa mashabiki wa Liverpool ndio mashabiki wenye furaha zaidi Ulimwenguni?. Kama hujui basi ni hivi kalbu hiyo ndio klabu pekee ambayo ipo kileleni kwenye ligi kuu ya Uingereza na kwenye UEFA. Mpaka sasa kufikia Desemba 24 klabu ya Liverpool FC imeendelea kufanya vizuri chini ya uongozi wa kocha mkuu mpya Arne Slot, ambaye…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU DODOMA JIJI

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema kuwa hesabu kubwa ni kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 za kazi. Mchezo uliopita Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex ambapo Prince…

Read More

SIMBA V JKT TANZANIA TAMBO ZATAWALA

BAADA ya kutoka kuvuna pointi tatu mbele ya Kagera Sugar katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Desemba 21 na ubao kusoma Kagera Sugar 2-5 Simba leo watakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Simba inakutana na JKT Tanzania ambayo mchezo wao uliopita ilikuwa ugenini dhidi ya Namungo, baada ya dakika 90…

Read More

AZAM FC KAZI IMEANZA HUKO

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye dirisha dogo la usajili itafanya usajili wa maana kutokana na mahitaji ya benchi la ufundi hivyo mashabiki wawe na subira kila kitu kipo kwenye mpango. Azam FC kwenye msimamo baada ya kucheza mechi 15 imekusanya pointi 33 ipo nafasi ya tatu vinara ni Simba wenye pointi 34…

Read More