ARSENAL YAMPIGA MTU MKONO LIGI KUU

Gabriel ‘Jesus’ amefunga magoli mawili wakati Washika Mitutu Arsenal wakiendelea kuweka hai matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kushusha kipigo cha 5-1 dhidi ya Crystal Palace ikiwa ni ushindi wao mkubwa zaidi msimu huu.

Arsenal imefikisha pointi 33 baada ya mechi 17 huku wakiendelea kusalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi hiyo.

FT: Crystal Palace 1-5 Arsenal
⚽ 11’ Sarr
⚽ 6’ Jesus
⚽ 15’ Jesus
⚽ 38’ Havertz
⚽ 60’ Martinelli
⚽ 84’ Rice

MATOKEO MENGINE EPL 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
West Ham United 1-1 Brighton
Ipswich 0-4 Newcastle United
Brentford 0-2 Nottingham Forest

MATOKEO #SeriaA
FT: Genoa Fc 1-2 SSC Napoli
⚽ 51’ Pinamonti
⚽ 15’ Anguissa
⚽ 23’ Rrahmani

FT: Torino 0-2 Bologna