WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LEONBET WAPATIKANA, WABEBA TV, PIKIPIKI
KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya LEONBET imewazadia washindi wa kampeni ya Shangwe la Sikukuu zawadi kibao kwa kushiriki kampeni hiyo. Kampeni hiyo iliyoanza kwa kishindo, mpaka sasa imeshuhudia wateja wa LEONBET wakijishindia zawadi za simu janja au Smartphone, Smart TV inchi 65, na Pikipiki mpya. Mkazi wa Njombe, Freddy Mbilinyi na Juliuz Ohimo wa…