Kikosi bora cha Mwaka 2024 Afrika kwa Wanaume, Ronwen Williams ametemwa huku Andre Onana wa Manchester United akijumuishwa sambamba na Mohammed Kudus, Ademola Lookman na Mohammed Salah.
KIKOSI BORA CHA MWAKA CAF
๐จ๐ฒ Andrรฉ Onana
๐ฒ๐ฆ Achraf Hakimi
๐ธ๐ณ Kalidou Koulibaly
๐จ๐ฉ Chancel Mbemba
๐ฒ๐ฆ Sofyan Amrabat
๐จ๐ฎ Franck Kessiรฉ
๐ฒ๐ฑ Yves Bissouma
๐ฌ๐ญ Mohammed Kudus
๐ช๐ฌ Mohamed Salah
๐ณ๐ฌ Victor Osimhen
๐ณ๐ฌ Ademola Lookman