YANGA KIMATAIFA NA FAIDA YA POINTI MOJA
BAO la Prince Dube liliwapoteza TP Mazembe mazima kwa kuwa walikuwa wanaamini kazi imeisha lakini jioni wakatunguliwa bao moja na kugawana pointi mojamoja na Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Faida ya kutumia washambuliaji wawili imekuwa na faida unaona ni Clement Mzize alikuwa eneo la tukio akafanya jaribio kuelekea langoni na kipa akatema unakutana na…