JESHI LA YANGA NDANI YA DR CONGO HILI HAPA

KIKOSI cha Yanga kimewasili salama nchini DR Congo baada ya kukwea pipa Desemba 12 2024 ikiwa ni maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Desemba 14 2024 utakuwa ni watatu kwa Yanga kushuka uwanjani katika anga la kimataifa. Kwenye orodha hiyo…

Read More