MWENDA NI KIJANI NA NJANO
ISRAEL Mwenda beki wa kupanda na kushuka sasa ni kijani na njano baada ya kutambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic. Nyota huyo alitambulishwa na Singida Black Stars msimu wa 2024/25 ambapo inatajwa kuwa dau lake ilikuwa ni milioni 15o lilimvuta akasaini mkataba ndani ya timu hiyo inayotumia Uwanja…