Ni rahisi sana kupuna mpunga wako ukiwa na Meridianbet kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
Tukianza na BUNDESLIGA leo hii Bayer Leverkusen atakipiga dhidi ya ST Pauli ambao wapo nafasi ya 15 kwenye ligi wakishinda mechi 3 pekee hadi sasa. Alonso na vijana wake ndio wanapewa nafasi ya kuwa washindi kwa ODDS 1.25 kwa 12. Bashiri sasa.
Pia RB Leizpig bada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mgeni wa Holstein Kiel ambao wapo nafasi ya 2 kutoka mwisho kwenye msimamo wa ligi. Pointi 3 ni muhimu kwa timu zote lakini sasa mmoja inabidi akupe ushindi leo. Je unampa nani beti yako?. 5.40 kwa 1.58 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Borussia Monchengladbach atacheza dhidi ya Borussia Dortmund ambao wapo nafasi ya 5 huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 3 pekee. Mara ya mwisho kukutana, Dortmund alishinda mechi zote. Leo mwenyeji atafanya nini?. 3.40 kwa 2.05 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet leo?. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
EPL leo hii kuna mechi za kukata na shoka ambapo bingwa mtetezi Manchester City baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Crystal Palace ambao wapo nafasi ya 17 kwenye msimamo. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda City kwa ODDS 1.70 kwa 5.00. Jisajili hapa.
Mechi nyingine kali ni hii ya Brentford vs Newcastle United ambao wametoka kutoa sare. Nyuki wametoka kupigika mechi yao iliyopita hivyo leo hii pale nyumbani kwao watakuwa wakitaka ushindi. ODDS za mechi hii ni 2.95 kwa 2.30. Bashiri hapa.
Pia Manchester United atakuwa Old Trafford kukiwasha dhidi ya Nottingham Forest ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee huku mchezo wa mwisho kukutana, United alishinda. Je leo hii wageni kulipa kisasi?. Mechi hii imepewa ODDS 1.80 kwa 4.60. Jisajili hapa.
Ligi kuu kule Hispania LALIGA nayo itaendelea ambapo wakubwa wote wapo dimbani, Real Betis atamualika kwake FC Barcelona ambao walishinda mechi yao iliyopita. Mechi ya mwisho kukutana, Barca alishinda. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi nyumbani? 5.20 kwa 1.57 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Nao Valencia baada ya kupigika mechi yao iliyopita, leo hii watakipiga dhidi ya Rayo Vallecano ambao nao walipigika hivyo leo hii kila timu inahitaji ushindi wa alama 3 ijiweke kwenye nafasi nzuri. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.35 kwa 3.65. Bashiri hapa.
Huku bingwa mtetezi Real Madrid baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Girona ambao wapo nafasi ya 8. Mechi ya mwisho kukutana mwenyeji alipoteza. Je vijana wa Ancelloti watafanya nini leo ugenini?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.80 kwa 1.95.
Vilevile kule Italia michezo ya SERIE A itaendelea kama kawaida ambapo Genoa atakiwasha dhidi ya Torino huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee huku mechi ya mwisho kuonana, walitoa suluhu. Leo hii mechi hii imepewa ODDS 2.43 kwa 3.25. Nani kuondoka na ushindi leo?. Bashiri hapa.
Hapo baadae Juventus atakuwa na kibarua cha kupepetana dhidi ya Bologna. Bibi Kizee yupo nafasi ya 6 na mgeni wake yupo nafasi ya 8, ambapo kila timu leo inataka ushindi kwa hali na mali. Je beti yako unampa nani leo kwa ODDS 1.77 kwa 5.20. Suka jamvi hapa.
Wakati AS Roma yeye ambaye amekuwa na msimu mbaya atachuana vikali dhidi ya US Lecce ambapo timu zote zina pointi 13 kwenye msimamo wa ligi huku baada ya kucheza mechi 14. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili hapa.