
FIFA YAMTEUA SALEH JEMBE KUPIGA KURA YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA
Mwandishi mkongwe na maarufu wa michezo nchini, Saleh Ally maarufu kama Saleh Jembe, kwa mara nyingine ameandika rekodi nyingine chini ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa). Fifa imemteua Saleh Jembe kwa mara ya tano mfululizo kupiga kura ya Mchezaji Bora wa Dunia. Fifa huchagua waandishi kutoka kila nchi na huangalia vigezo mbalimbali likiwemo suala…