
KOCHA WA AZAM FC AKOMBA TUZO
RACHID Taoussi, Kocha Mkuu wa Azam FC amechaguliwa kuwa kocha bora ndani ya Oktoba baada ya kuingia fainali na kuwashinda makocha wengine ambao alikuwa akipambanishwa nao. Taarifa imeeleza kuwa kocha huyo aliyekiongoza kikosi hicho kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga amewashinda Abdulhamid Moalin wa KMC na Denis Kitambi wa Singida Black Stars. Rekodi…