
TAIFA STARS YAPANIA KUFANYA KWELI
KIPA wa timu ya Taifa Stars, Aishi Manula ameweka wazi kuwa wana mchezo mgumu dhidi ya Guinea lakini lengo mama ni kuhakikisha wanfuzu AFCON 2025 kwa kuwa watakuwa nyumbani Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 19 2024 saa 10:00 jioni na tayari timu ipo Bongo kwa maandalizi ya mwisho baada ya kutoka kupata…