TAMBO ZATAWALA KWA VINARA WA LIGI SIMBA

TAMBO zimetawala kwa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba kwa kubainisha kuwa licha ya kukutana na ushindani mkubwa kwenye mechi za hivi karibuni bado walipambana na kupata ushindi ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba kikosi cha Simba bado hakijawa kwenye ubora wa asilimia 100 kutokana na wachezaji wake wengi kuwa ni wageni huku Kocha…

Read More

FEISAL GARI LIMEWAKA HUKO

KIUNGO mshambuliaji ndani ya kikosi cha Azam FC, Feisal Salum gari limewaka huko kutokana na kasi yake ya kucheka na nyavu kuendelea kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex, Novemba 28 2024 ukisoma Azam FC 2-1 Singida Black Stars ambayo imetoka kuachana na Patrick Aussems ambaye alikuwa kocha mkuu…

Read More

YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA NAMUNGO

 MCHORA ramani wa Yanga ameweka wazi kuwa wanakabiliwa na mchezo mgumu kesho na watapambana kupata pointi tatu muhimu unatarajiwa kuchezwa saa 12:30 jioni. Sead Ramovic amebainisha kuwa maandalizi yapo vizuri na wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo ambao utakuwa na ushindani mkubwa na malengo ni kuona wanapata pointi tatu muhimu. “Tuna mchezo mgumu mbele…

Read More