MAN CITY YAENDELEA KUANDAMWA NA MAUZAUZA KAMA YANGA

Mauzauza yameendelea kuiandama Manchester City baada ya kushindwa kuulinda uongozi wa 3-0 na kusawazishiwa 3-3 dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku ikishindwa kupata ushindi kwenye mechi ya 6 mfululizo kwenye michuano yote.

Kwenye michezo mingine Arsenal imeilaza Sporting Lisbon jumla ya magoli 5-1, wakati Barcelona ikiilaza Brest magoli 3-0.

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄: UEFA CL
Sporting CP 🇵🇹 1-5 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal
Man City 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 3-3 🇳🇱 Feyenoord
Bayern 🇩🇪 1-0 🇫🇷 PSG
Inter Milan 🇮🇹 1-0 🇩🇪 Leipzig
Barcelona 🇪🇸 3-0 🇫🇷 Brest
Leverkusen 🇩🇪 5-0 🇦🇹 Salzburg
Young Boys 🇨🇭 1-6 🇮🇹 Atalanta
Sparta Prague 🇨🇿 0-6 🇪🇸 Atletico
Slovan Bratislava 🇸🇰 2-3 🇮🇹 AC Milan