KIMATAIFA, UWANJA WA MKAPA YANGA V AL HILAL KAZINI

FT: KIMATAIFA

Uwanja wa Mkapa

Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi

Yanga 0-2 Al Hilal

Adama Couulibal amefunga bao la uongozi dakika ya 63 na bao la pili ni mali ya Yasir Mzamil dakika ya 90.

YANGA chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic ipo uwanjani kusaka pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa hatua ya makundi.

Huu ni mchezo wa kwanza kwa mrithi wa mikoba ya Miguel Gamondi ambaye alipewa Thank You na tetesi zinaeleza kuwa huenda akaibukia Singida Black Stars ambayo imeachana na kocha Patrick Aussems.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.