MAJALIWA AHITIMISHA JIMBO CUP RUANGWA

Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo cup kati ya Stand fc na Kiwengwa FC uliofanyika katika uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi. Katika mchezo huo uliopigwa Novemba 25, 2024, timu ya kiwengwa Fc iliibuka bingwa baada ya…

Read More

MERIDIANBET YAENDELEA ILIPOISHIA YATOA MSAADA WA VITU TANDALE, DAR

Meridianbet imeendelea ilipoishia kwani tena imefika eneo la Ali Maua Tandale jijini Dar-es-salaam na kufanikiwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa familia kadhaa zinazopatikana katika eneo hilo. Kurudisha kwa jamii iliyowazunguka na yenye uhitaji imekua ni moja  ya vipaumbele vikubwa sana kwa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri, Kwani wamekua wakifanya hivo kwa miaka mingi…

Read More

KOCHA MPYA YANGA ATAJA NGUZO MUHIMU

IKIWA ni mchezo wake wa kwanza kimataifa akiwa kwenye benchi la ufundi la Yanga, Kocha Mkuu, Sead Ramovic amesema kuwa hakuna staa ndani ya timu hiyo huku nguzo zake kuu anazosimamia ikiwa ni nidhamu na kujituma kwa wachezaji wake. Mchezo wa leo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni ambapo mashabiki wameitwa kujitokeza kwa…

Read More

MWAMBA WA MATUKIO AHOUA, KAZI IPO KWA MKAPA

KWENYE mchezo dhidi ya Pamba Jiji Novemba 22 2024 nyota wa Simba, Jean Ahoua anaingia kwenye orodha ya wachezaji waliopoteza pasi nyingi katika dakika 45 ambazo alicheza. Hajawa katika utulivu mchezaji wa matukio muhimu lakini katika ukabaji bado hajawa imara anapaswa kuongeza juhudi zaidi. Miongoni mwa dakika ambazo alipoteza pasi ilikuwa dakika ya 15, 16,…

Read More

BETI NA MERIDIANBET MECHI ZA UEFA LEO

UEFA leo ni moto kwelikweli kwani mechi kibao zinapigwa kwenye viwanja mbalimbali. Nani kukupa pesa Jumanne ya leo?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Mtanange wa mapema ni huu wa AC Milan ambaye atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Slovan Bratslava ambaye ndiye kibonde wa michuano hii akiwa kafungwa mechi zote hadi sasa….

Read More