PEP GUARDIOLA AMEPOTEZA KWA MARA YA TANO MFULULIZO

 

Pep Guardiola amepoteza kwa mara ya tano mfululizo hii ikiwa ni kwa mara ya kwanza kama Kocha, baada ya Tottenham kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Manchester City kwenye Uwanja wa Etihad.

FT: Man City 0-4 Tottenham

Maddison (13’)
Maddison (20’)
Pedro Porro (52’)
Brennan Johnson
(90’+3’)