Endelea kubashiri leo hii mechi za mataifa mbalimbali zinazoendelea hapa ndani ya Meridianbet huku ukiwa tayari umewekewa machaguo kibao uyapendayo.
Mechi za UEFA NATIONS LEAGUE kule Ulaya kuendelea leo ambapo Hungary baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakiwasha dhidi ya Germany ambao ndi vinara wa kundi hilo. Mwenyeji anaingia kwenye mchezo huu akikumbuka kipigo mechi ya mwisho walipokutana. Je leo hii kwa ODDS 6.20 kwa 1.45.
Netherlands watakuwa ugenini dhidi ya Bosnia ambao wana pointi moja mpaka sasa. The Orange wanahitaji ushindi leo kujihakikishia nafasi ya pili wakati kwa upande wa mgeni yeye hata ushindi hauwezi kumsaidia kitu. 12 kwa 1,30 ndio ODDS za mechi hii. Beti hapa.
Huku Montenegro ambao hawana pointi yoyote wataumana dhidi ya Turkey ambao wapo juu kwenye msimamo wa ligi na pointi zao 11. Mara ya mwisho kukutana Uturuki walishinda. Je na leo wataendeleza ubabe dhidi ya mwenyeji wao?. 6.60 kwa 1.50 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Nao Albania wataumana dhidi ya Ukraine ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee. Kila timu inahitaji ushindi leo kujiweka kwenye nafasi nzuri. Je nani kuondoka na pointi 3?. Bashiri sasa mechi hii yenye ODDS 3.20 kwa 2.28.
Ushindi mkubwa upo hapa ndani ya meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Huku Afrika sasa mechi za kufuzu Afcon nazo kuendelea Tanzania atakuwa akisaka nafasi ya kufuzu dhidi ya Guinea ambao wao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi H. Mara ya mwisho kukutana Taifa Stars alishinda. Leo hii Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mgeni kwa ODDS2.65 kwa 3.00. Je Watanzania watafuzu leo?. Bashiri hapa.
Kenya atakiwasha dhidi ya Namibia ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee. Ikumbukwe kuwa hawa wote wanakamilisha tuu ratiba kwani hawana nafasi ya kufuzu leo. Mgeni anataka kulipa kisasi baada ya kupigika mechi yake iliyopita. 2.25 kwa 3.30 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ni Cameroon dhidi ya Zimbabwe ambapo tayari hawa wote wameshafuzu Afcon kwani pointi ambazo wanazo hakuna timu ambayo inaweza kuwafikia. Je nani kumaliza mechi hii ya leo kwa ushindi?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.50 kwa 7.00.
Mauritania uso kwa uso dhidi ya Cape Verde ambapo wote hawa wana pointi sawa kwenye kundi lao, yani wote wana pointi 4. Mtanange wa mwisho kukutana mwenyeji alipigika. Je kwenye mechi hii ya mwisho atalipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 1.90 kwa 4.10. Suka jamvi hapa.
Pia Uganda baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mgeni wa Congo Republic ambao wapo nafasi ya 3, hatakama wakishinda hawawezi kufuzu kwani wanapitwa pointi 6 hadi sasa. Je The Cranes watapoteza mechi ya pili mfululizo au watasimama kidete.?2.80 kwa 2.50 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
Meridianbet wanakwambia beti mechi hii ya Guinea-Bissau dhidi ya Mozambique ambao wamezidiana pointi 3 pekee. Mwenyeji ili kufuzu mechi leo anahitaji ushindi na magoli zaidi ya 3. Je mgeni atakubai kichapo cha leo kimuondoe kufuzu Afcon?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili hapa.