HONGERA TAIFA STARS, YAFUZU AFCON 2025
KUTOKA kundi H, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco imekata tiketi kufuzu AFCON 2025 kwa ushindi dhidi ya Guinea. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Tanzania 1-0 Guinea ambapo katika dakika za lala salama Guinea walikuwa wanatafuta pointi moja kwa kutaka kumtungua Air Manula…