Wananchi Yanga SC wamemtambulisha Kocha Msaidizi Mustafa Kodro.
Mustafa Kodro ataungana na Kocha Mkuu wa klabu hiyo Sead Ramovic ambae alitambulishwa siku kadhaa zilizopita kukinoa kikosi hicho msimu huu.