Ukisikia chimbo la machaguo zaidi ya 1000 na ODDS KUBWA jua ni meridianbet pekee, ambapo leo hii mechi za kufuzu Afcon na mechi za mataifa kule Ulaya zikiendelea wewe huku una nafasi ya kushinda kitita cha Mamilioni.
Mechi ya mapema leo ni hii ya saa 10:00 jioni kati ya Malawi dhidi ya Burkina Faso ambapo mwenyeji ndiye kibonde akiwa na pointi moja hadi sasa. Leo hii anahitaji pointi tatu dhidi ya timu yenye pointi 10 na ipo nafasi ya 2. Ikumbukwe kuwa mechi ya mwisho kukutana alipoteza pia. Je leo hii atafanya nini?. Mechi hii ina ODDS 4.60 kwa 1.75. Jisajili sasa.
Na mechi nyingine ni ya Ghana ambaye ametoka kutoa sare mechi iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani dhidi ya Niger ambaye alishinda. Ghana anacheza mechi ya leo kukamilisha ratiba tuu kwani mpaka sasa hata akishinda hawezi kufuzu kucheza Afcon. Beti mechi hii yenye ODDS 1.47 kwa 6.40.
Nao Nigeria watamkaribisha Rwanda huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6. Mwenyeji mechi yake iliyopita alitoa sare wakati mgeni yeye alipasuka. Ni suluhu iliyopatiana mechi ya mwisho walipokutana ambapo ndani ya Meridianbet ni The Eagles ndio wanapewa nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.35 kwa 8.60. Bashiri hapa.
Ushindi mkubwa upo hapa ndani ya meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Pia Libya atamenyana dhidi ya Benin ambapo mwenyeji ameshinda mechi yake iliyopita, wakati mgeni yeye alitoa sare. Libya anahitaji ushindi huu wa leo kwa hali na mali kwani yupo nyumbani. Meridianbet wanampendelea mgeni kushinda leo kwa ODDS 2.48 kwa 2.75. Suka jamvi hapa.
Comoros atakipiga dhidi ya Madagascar ambao hawajashinda hata mechi moja hadi sasa. Ametoa sare mbili pekee huku mwenyeji yeye ameshinda mechi mbili na sare tatu. Mara ya mwisho kukutana walitoa sare. 2.26 kwa 3.26 ndio ODDS za mechi ya hii. Jisajili hapa.
Kule Ulaya Ronaldo na Ureno yake baada ya kushinda mechi iliyopita, leo hii atakuwa mgeni wa Croatia huku tofauti ya pointi kati yao ni 6. Je Ronaldo kuendeleza rekodi ya magoli leo?. 2.75 kwa 2.70 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Spain watakiwasha dhidi ya Switzerland ambao mpaka sasa wanapumulia mashine wakiwa na pointi 2 pekee. Vijana wa Luis de la Fuente wanapewa nafasi ya kushinda mechi hii kwa ODDS 1.43 kwa 6.60. Je unampa nani ushindi leo. Bashiri sasa.
Halikadhalika Poland ya kina Lewandowski watacheza dhidi ya Scotland ambao wote hawa wote wana pointi 4 kwenye msimamo wa kundi lao. Kila timu inahitaji pointi 3 leo huku mwenyeji ndiye alishinda mechi yake ya mwisho walipokutana. Beti yako unampa nani leo ambapo ODDS za mechi hii ni 2.30 kwa 3.00. Tengeneza jamvi lako hapa.
Piga pesa zako hapa kwenye mtanange wa Serbia dhidi ya Denmark ambapo mwenyeji yeye alitoa sare mechi yake iliyopita huku mgeni yeye alipoteza. Leo hii pointi 3 ni muhimu kwa kila timu, lakini kule Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.55 kwa 2.95. Jisajili hapa.