MABINGWA WATETEZI WAMTAMBULISHA BOSI MPYA

ABDULHAMID Moalin ametambulishwa kuwa bosi mpya ndani ya kikosi cha Yanga kwene eneo la masuala ya ufundi kwa msimu wa 2024/25. Moalin alikuwa Kocha Mkuu wa KMC inayotumia Uwanja wa KMC Complex na mchezo wake wa mwisho kukaa benchi ilikuwa dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa KMC Complex. Baada ya dakika 90 uba ulisoma Simba…

Read More

MECHI 10 ZA SIMBA BONGO NA MATOKEO YAKE HIZI HAPA

MECHI 10 Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imecheza huku ikambulia joto ya jiwe kwa kufungwa mchezo mmoja dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikuwa Kariakoo Dabi na sare ni mchezo mmoja. Hizi hapa rekodi za mechi 10 za Simba ndani ya 2024/25 kwenye NBC Premier League namna hii:- Simba 3-0 Tabora United…

Read More

YANGA NA KIMATAIFA HESABU ZIPO HIVI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wameanza kupiga hesabu kimataifa kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Al Hilal ya Sudan unaotarajiwa kuchezwa Novemba 26 2024. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic tayari wameanza maandalizi kuelekea mchezo huo wa hatua ya makundi ndani ya msimu wa 2024/25. Bakari…

Read More

SIMBA WAKALI NDANI YA 18

KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni wakali wa kufunga mabao mengi ndani ya 18 katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 ambao una ushindani mkubwa mwanzo mwisho. Ndani ya NBC Premier League ni mabao 19 mastaa wa Simba wamefunga ikiwa ni namba moja katika timu zilizofunga mabao mengi…

Read More