TIMU YA TAIFA YA TANZANIA YAFUTA UTEJA MBELE YA ETHIOPIA

Timu ya taifa ya Tanzania imefuta uteja mbele ya Ethiopia baada ya kushinda kwa mara ya kwanza kihistoria dhidi ya Wahabeshi hao na kuweka hai matumaini ya kufuzu AFCON 2025.

Kwa ushindi huo wa mabao 2-0 Stars imekwea mpaka nafasi ya pili ikifikisha pointi 7 baada ya mechi 5 huku Ethiopia ikiendelea kusalia mkiani pointi 1 baada ya mechi 5.

FT: Ethiopia 🇪🇹 0-2 🇹🇿 Tanzania
⚽ 15’ Msuva
⚽ 31’ Feitoto

MSIMAMO Kundi H
🇨🇩 DR Congo Pts 12
🇹🇿 Tanzania Pts 7
🇬🇳 Guinea Pts 6
🇪🇹 Ethiopia 1