WAZIRI MKUU MAJALIWA AFIKA LILIPOPOROMOKA JENGO KARIAKOO – ATOA TAMKO la SERIKALI…

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kushirikiana na Kamati za Ulinzi kuhakikisha manusura waliofukiwa na kifusi cha ghorofa lililoporomoka Wanaokolewa Aidha, Waziri Mkuu ameagiza Mitungi ya Hewa ya #Oxygen ipelekwe kwenye eneo hilo ili kuwasaidia manusura waliopo chini ambao bado hawajaokolewa wakati zoezi la uokozi likiendelea Hadi sasa watu kadhaa…

Read More

KULE TANZANIA HUKU ETHIOPIA NANI KUKUPATIA PESA LEO?

Timu ya Taifa ya Tanzania leo hii itakuwa ugenini kusaka ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu AFCON 2026, huku wewe ukiwa na nafasi ya kuondoka na mkwanja mrefu. Ethiopia itakuwa nyumbani dhidi ya  Tanzania majira ya saa moja usiku. Ikumbukwe kuwa Stars leo hii inahitaji ushindi wa hali na mali ili ijiweke kwenye nafasi…

Read More

TAIFA STARS KUSHUKA DIMBANI LEO DHIDI YA ETHIOPIA

TIMU ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itashuka dimbani leo Novemba 16, 2024 kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia katika uwanja wa Taifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (Martyrs de la Pentecote) ikihitaji kufufua matumaini yake ya kukata tiketi ya AFCON 2025. Wenyeji, Ethiopia ambao wamechagua…

Read More

VAA TAJI NA USHINDE KITITA LEO

Kupitia mchezo wa 20 Imperial Crown unakuvalisha taji lakini haishii hapo kwani pia unaweza kujishindia kitita kikubwa kupitia mchezo huu wa kasino, Kwani mchezo huu umekua moja ya michezp pendwa ya kasino na watu wamekua wajishindia vitita vikubwa. 20 Imperial Crown Deluxe Sifa Zake 20 Imperial Crown Deluxe kasino mtandaoni wenye safu tano zilizopangwa katika…

Read More