RAIS WA SASA WA CAF PATRICE MOTSEPE APITISHWA KUWA MGOMBEA PEKEE

Rais wa sasa wa CAF , Patrice Motsepe amepitishwa kuwa mgombea pekee wa kiti cha uraisi wa shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF kuelekea uchaguzi mwezi March 2025.

Kwa maana hiyo ataendelea kusalia katika nafasi hiyo sasa na hata baada ya uchaguzi March 2025