Meneja wa Uwanja wa Kinondoni Municipal Football Club (KMC) amefunguka kupitia GLOBAL TV kuwa hakuna timu ambayo itapita mlango tofauti na utaratibu uliowekwa na uongozi wa uwanja huo.
YANGA NDIYO SABABU ya KUFUNGWA CCTV CAMERA, FENSI za UMEME UWANJA wa KMC? MENEJA wa UWANJA AFUNGUKA
