KITAWAKA EPL, LALIGA JUMAMOSI YA LEO

Je unajua kuwa ligi pendwa leo kuna mechi za uhakika?, mechi za kukupatia maokoto ya maana. Yaani namanisha kule EPL, LALIGA, SERIE A na kwingineko ni moto mkali sana. Beti sasa hapa.

Mapema kabisa leo hii LALIGA kuna mechi kali bingwa mtetezi  Real Madrid ambaye wikendi iliyopita hakucheza, leo hii atamenyana dhidi ya CA Osasuna ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 3 pekee huku mechi za msimu uliopita Real alishinda zote. Je Carlo kuendeleza ubabe wake mbele ya mgeni wake?. 1.23 kwa 12 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Wakati Villarreal wao watakuwa wenyeji wa Deportivo Alaves huku kwa mabingwa wa ubashiri wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wao wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.62 kwa 5.80. Je wewe beti yako unampa nani leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Saa 5:00 Sevilla atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya CD Leganes ambao wlaipoteza mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee huku mechi hii ikipewa ODDS 2.80 kwa 2.75. Jisajili hapa.

Jumamosi ya leo odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kule Ujerumani pia BUNDESLIGA Jumamosi ndio siku yake mitanange kibao kuendelea leo ambapo Bayer Leverkusen atakuwa mgeni wa VFL Bochum ambaye yupo nafasi ya mwisho kwenye ligi alipata sare moja pekee. Alonso na vijana wake wapo nafasi ya 5. Beti mechi hii yenye ODDS 10 kwa 1.26.

  1. Pauli watamualika kwao Bayern Munich ambao ndio vinara wa ligi hadi sasa wakiwa na pointi 23. Mwenyeji yupo nafasi ya 15 akishinda mechi mbili pekee huku Meridianbet wakiwapa nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.22 kwa 12. Bashiri hapa sasa.

Wakati Borussia Dortmund baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mgeni wa FSV Mainz ambao walitoa suluhu mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana, Dortmund alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi ugenini?. 3.50 kwa 2.04 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Mechi ya kufungia Jumamosi Ujerumani ni hii ya RB Leipzig vs Borussia Monchengladbach. RB anatazamia ushindi tuu leo kwani akishinda anaweza panda hadi nafasi ya kwanza huku akiomba mabaya kwa Munich. Beti mechi hii yenye ODDS 1.60 kwa 6.00.

Uingereza leo EPL kuna michezo ya kupiga pesa ambapo Brentford baada ya kufungwa mechi yake iliyopita, leo hii atamenyana dhidi ya Bournemouth ambao wametoka kumfunga bingwa mtetezi. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.60 kwa 2.60 kwamba timu zote zinaweza kushinda. Jisajili hapa.

Pia muda huo huo Crystal Palace ambaye kashinda mechi moja pekee na yupo nafasi ya 17 atakiwasha dhidi ya Fulham ambao wapo nafasi ya 9 wakishinda mechi zao 4 hadi sasa. Mechi ya mwisho kukutana, walitoa sare. Je leo hii nani ataondoka kifua mbele?. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mgeni kwa ODDS 2.55 kwa 2.80. Bashiri hapa.

Naye bingwa mtetezi Manchester City baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo atakuwa ugenini dhidi ya Brighton ambao walipigika mechi yao iliyopita wakiwa ugenini. City ya Pep Guardiola mpaka sasa imepoteza mechi 3 mfululizo kwenye michuano yote. Je leo hii watakuwabli kupoteza mechi ya 4?. 4.10 kwa 1.80 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Na mechi za usiku kabisa nii hii ya Liverpool vs Aston Villa mechi ambayo Arne Slot anahitaji ushindi wazidi kujikita kileleni kabisa. Ikumbukwe kuwa Villa naye anataka ushindi baada ya kupoteza mechi yake iliyopita. Beti mechi hii yenye ODDS 1.50 kwa 6.00.

Italia leo SERIE A nayo mambo yanazidi kunoga mapema kabisa Venezia atakichapa dhidi ya Parma ambapo timu hizi zinatofautiana pointi 1 pekee. Mara ya mwisho kukutana mgeni aliondoka na ushindi. Je mwenyeji leo hii atalipa kisasi nyumbani?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.

Vijana wa Fonseca AC Milan baada ya kupata ushindi kwenye ligi ya mabingwa, leo hii atachuana dhidi ya Cagliari ambao wana pointi 9 pekee kwenye msimamo wa ligi. Fonseca na vijana wake wanaweza kupata ushindi leo ugenini?. ODDS za mechi hii ni 4.80 kwa 1.82. Beti hapa.

Vilevile Juventus ikiwa ndio timu ambayo haijapoteza mechi yoyote watakuwa wenyeji wa Torino ambao wapo nafasi ya 11. Bibi Kizee akishinda leo atapanda hadi nafasi ya 2 kutoka ya 6. Mechi hii imepewa ODDS 1.57 kwa 6.80. Jisajili hapa.