WIKENDI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO IMEFIKA

Ligi mbalimbali zinaendelea leo kuanzia kule Ujerumani, Ligue 1, Laliga, Saudia na kwingineko huko, lakini kumbuka kuwa sehemu pekee ya wewe kujihakikishia ushindi ni Meridianbet. Bashiri sasa mechi za leo hapa.

Leo hii ni Olympique Marseille vs AJ Auxerre kule LIGUE 1 mchezo ambao utapigwa majira ya 4:45 usiku ambapo Meridianbet wamemua kumpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.44 kwa 6.60. Mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji alishinda. Je leo hii mgeni kulipa kisasi ugenini. Beti mechi hii.

Piga pesa na SERIE A leo kwani hapa kuna mechi ya US Lecce vs Empoli. Ikumbukwe kuwa Lecce ndiye kibonde wa ligi akiwa na pointi 8 pekee akiwa kashinda mechi mbili na kupoteza 7, wakati kwa mgeni yeye yupo nafasi ya 11 akishinda mechi tatu na kupoteza tatu. 2.38 kwa 3.50 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Wikendi hii odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Wakati kule Hispania kutakuwa na LALIGA mtanange mmoja mzito kati ya Rayo Vallecano dhidi ya Las Palmas ambapo tofauti ya pointi kati yao ni pointi 7 pekee na anayepewa nafasi ya kushinda leo hii ni mwenyeji akiwa na ODDS 1.95 kwa 4.50. Mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji alipasuka, je leo hii anaweza kulipa kisasi akiwa nyumbani?. Ushindi wako leo unampa nani?. Jisajili hapa.

Kule Ujerumani, BUNDESLIGA kama kawaida Union Berlin baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa akisaka pointi 3 dhidi ya Freiburg ambaye alitoa suluhu mchezo wake uliopita. Timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi ambapo mwenyeji yeye ni wa 7 na mgeni wake ni 6. Mechi hii imepewa 2.43 kwa 3.05. Bashiri hapa.

Vilevile Saudia pia kuna mechi zinapigwa leo, bingwa mtetezi Al Hilal atamualika kwake Al Ittifaq ambao wapo nafasi ya 11 wakiwa na pointi zao 11. Bingwa mtetezi anahitaji ushindi leo hii akwee pipa hadi kileleni kwenye msimamo wa ligi. Wageni wamepoteza mechi zote walizokutana na Hilal. Je leo wataweza kumzuia mwenyeji kuongoza ligi?. 1.18 kwa 14 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Al Ahli ya kina Riyad Mahrez wao watamenyana dhidi ya Al Raed ambao hawapewi nafasi ya kuondoka na ushindi leo ugenini wakiwa na ODDS 9.20 kwa 1.28 huku mtanange wa mwisho kuonana, yaani mechi zote mbili za msimu uliopita, hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Jisajili hapa.

Ronaldo na Al Nassr yake wao watakuwa ugenini dhidi ya Al-Riyadh ambao wapo nafasi ya 6 wakiwa na pointi 14, wakati vijana wa Pioli wao wapo nafasi ya 4 na pointi zao 19. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. 9.20 kwa 1.26 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.