WIKENDI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO IMEFIKA

Ligi mbalimbali zinaendelea leo kuanzia kule Ujerumani, Ligue 1, Laliga, Saudia na kwingineko huko, lakini kumbuka kuwa sehemu pekee ya wewe kujihakikishia ushindi ni Meridianbet. Bashiri sasa mechi za leo hapa. Leo hii ni Olympique Marseille vs AJ Auxerre kule LIGUE 1 mchezo ambao utapigwa majira ya 4:45 usiku ambapo Meridianbet wamemua kumpa nafasi kubwa…

Read More

KOCHA WA AZAM FC AKOMBA TUZO

RACHID Taoussi, Kocha Mkuu wa Azam FC amechaguliwa kuwa kocha bora ndani ya Oktoba baada ya kuingia fainali na kuwashinda makocha wengine ambao alikuwa akipambanishwa nao. Taarifa imeeleza kuwa kocha huyo aliyekiongoza kikosi hicho kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga amewashinda Abdulhamid Moalin wa KMC na Denis Kitambi wa Singida Black Stars. Rekodi…

Read More

MUUAJI WA YANGA AFUNGUKA HAYA

MUUAJI wa Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Offen Chikola amesema kuwa furaha kubwa kupata pointi tatu mbele ya timu kubwa kutokana na mchezo wao kuwa mgumu mwanzo mwisho ndani ya uwanja. Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi imepoteza mchezo wa pili ikiwa nyumbani msimu wa 2024/25 ambazo ni dakika 180. Baada ya…

Read More

AWESU AWESU ATUMA UJUMBE HUU KWA MABOSI KMC

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Awesu Awesu amebainisha kuwa mzunguko wa pili ikiwa atawafunga mabosi wake wa zamani KMC atashangilia bao hilo kwa kuwa bao la kwanza hakushangilia. Nyota huyo kwenye mchezo wa kwanza kukutana na mabosi zake KMC kwenye ligi ilikuwa ni Novemba 6 2024 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 4-0 KMC ambapo…

Read More