Simba Sc imekwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya KMC Fc ikichukua pointi zote tatu na kufikisha pointi 25.
Jean Charles Ahoua amefunga lake la tano la msimu kwenye Ligi Kuu bara, akihusika kwenye magoli 9 kwenye mechi 10 za ligi mpana sasa.
FT: Simba Sc 4-0 KMC FC
⚽ 25’ Awesu
⚽ 38’ Ahoua (P)
⚽ 66’ Balua
⚽ 69’ Ahoua