AZAM FC WATAMBA KUENDELEA NA KASI
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa utaendelea na kasi yao kwenye mechi zijazo za ushindani ndani ya msimu wa 2024/25 kutokana na ubora walionao. Ipo wazi kwamba Azam FC ni timu ya kwanza kukomba pointi tatu mazima dhidi ya Yanga ambao ni mabingwa watetezi walipokutana mzunguko wa kwanza Uwanja wa Azam Complex Novemba 2…