
TAJIRIKA NA UEFA LEO, PSG WATAWAALIKA ATLETICO MADRID, INTER MILAN VS ARSENAL
Je unajua kuwa unaweza kutimiza ndoto zako na ukibashiri na Meridianbet?. Weka dau lako dogo na ujishindie zaidi ya mamilioni sasa na uifurahie siku yako. Parc des Princes patawaka sana leo ambapo PSG watawaalika Atletico Madrid ambao wameshinda mechi moja pekee, wakati Paris wao wameshinda mechi moja na sare moja. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa…