UZINDUZI WA “AMAZING TANZANIA” WATIA FORA, DKT. ABBASI AELEZA TAMU NA CHUNGU ZA “LOCATION” NA MARAIS WA NCHI

Hatimaye Filamu ya kuitangaza nchi Uchina ya “Amazing Tanzania” iliyomshirikisha Rais Samia Suluhu Hassan, Dr. Hussein Mwinyi na msanii Jin Dong kutoka China, imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo Waziri wa Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amemwakilisha Rais Samia huku Serikali ya Uchina chini ya Rais Xi Jinping ikiwakilishwa na Naibu…

Read More

SIMBA DHIDI YA KMC KUPIGWA KESHO MWENGE

BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imefanya maboresho ya ratiba ambapo mchezo wa Ligi Kuu namba 82 kati ya Simba Sc dhidi ya KMC Fc uliokuwa uchezwe Jumanne Novemba 5, 2024 katika dimba la KMC Complex sasa utapigwa siku ya Jumatano, Novemba 6, 2024 katika dimba hilo hilo. Aidha TPLB imefanya mabadiliko mengine ambapo mchezo namba…

Read More