Wababe wa michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet safari hii wameamua kuwapa kipaumbele wateja wanaotumia mtandao wa Tigo Pesa kufanya miamala yao kwenda Meridianbet na kufanya ubashiri kwa kuwaletea promosheni ya Saka Bajaji na Tigo Pesa.
Promosheni hii ya Saka Bajaji na Tigopesa itaanza tarehe 01 November 2024, na itaisha Desemba 31 2024 saa 5:59 usiku ambapo kadri unavyocheza mara nyingi ndipvyo unavyojiweka kwenye nafasi kubwa ya kushinda zawaidi kibao.
Na ili kushiriki sasa unatakiwa kuweka shilingi 25,000 kwenye akaunti yako ya Meridianbet na kubashiri tiketi za michezo au ucheze michezo ya kasino mbalimbali na uipendayo na jinsi unavyocheza mara nyingi ndivyo unajiweka kwenye nafasi ya ushindi.
Promosheni hii inawapa wateja fursa ya kipekee ya kushinda zawadi kubwa kabisa zikiwemo Bajaji, simu za kisasa, na mizunguko ya bure 250 kila siku kwenye mchezo wa Kasino wa PIA.
Kabla hujaendelea na promosheni kumbuka kubashiri na Meridianbet siku ya leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Ikumbukwe kuwa kila mteja anayeshiriki ana nafasi ya kushinda huku Meridianbet ikihakikisha kuwa washindi watapatikana bila kuwa na upendeleo wa aina yoyote. Wateja wanahimizwa kushiriki na kuweka fedha ili kujihakikishia nafasi ya kushinda.
ZAWADI ZINAVYOTOLEWA
- Zawadi za mizunguko ya bure 250 zitatolewa kwa wachezaji wote ambao wataweka elfu 25,000 au zaidi kupitia Tigopesa na kubashiri tiketi mbalimbali au kucheza kasino kiasi sawa na hicho kila siku.
- Simu zitatolewa kila Ijumaa ya kipindi cha promosheni kuanzia tarehe 01 Novemba ambapo simu jumla ya 20 zitatolewa.
- Vilevile kutakuwa na 10% ya bonasi kwa wale wateja ambao watakuwa wamepoteza pesa kuanzia Jumatatu hadi Jumapili ambazo zitawekwa kwenye akaunti zao kipindi cha promosheni.
- Kiwango cha juu cha bonasi ambacho Meridianbet watatoa ni 2,500,000 (Milioni mbili na laki tano tu).
- Zawadi kuu sasa ya promosheni hii ambayo ni Bajaji itatolewa kupitia droo kuu na mshindi atachaguliwa bila mpangilio kutoka kwenye orodha ya wachezaji ambao wameshiriki promosheni hii na kukidhi vigezo na masharti yake.
- Na mwisho kabisa ni kuwa promosheni hii ya bajaji itafanyika tarehe 01 Januari 2025 makao makuu ya Meridianbet Upanga ambapo ndio siku ya mwisho ya promosheni hii ya Saka Bajaji na Tigopesa.