
KUELEKEA UZINDUZI WA “AMAZING TANZANIA” MAWAZIRI TANZANIA, CHINA WAKUTANA
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, amekutana na Naibu Waziri wa Utalii na Utamaduni kutoka China, Lu Yingchuan, kuelekea sherehe za jioni ya leo za miaka 60 ya Ushirikiano katika Utalii na Utamaduni kati ya nchi hizo mbili na kuahidiana ushirikiano zaidi katika sekta zao. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri…