UWANJA wa Lake TanganyikaMashujaa 0-1 SimbaLigi Kuu BaraMukwala goal dk 90.Omary Mdoe, refa
UBAO wa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma unasoma Mashujaa 0-0 Simba ikiwa ni dakika 45 za mwanzo kwenye msako wa pointi tatu.
Erick Johora kipa wa Mashujaa amekuwa kwenye ubora ndani ya dakika 45 akiokoa zaidi ya hatari tatu za Simba ambayo inamtumia Kibu Dennis kwenye mapigo ya mipira iliyokufa ndani ya uwanja na Leonel Ateba katika kumwaga krosi.
Moussa Camara kipa wa Simba ameanza kikosi cha kwanza kutimiza majukumu yake ndani ya uwanja huku Ally Salim kipa namba mbili wa Simba akiwa benchi.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.