MASHUJAA WAPOTEZA MBELE YA SIMBA JIONI
MSHAMBULIAJI wa Simba, Steven Mukwala maarufu kama mshambuliaji mrefu kuliko goli, mipira ya juu haruki ni waa, leo Novemba Mosi amefunga bao kwa kurukia mpira wa juu. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika umesoma Mashujaa 0-1 Simba bao likifungwa na Mukwala kwa pigo la kichwa baada ya kuruka juu kuufuata mpira…