
AZAM FC HAITAKI UTANI, KAZI DAKIKA 270
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwenye mechi zijazo watapambana kufanya vizuri kupata pointi tatu muhimu ndani ya uwanja msimu wa 2024/25 ambao una ushindani mkubwa. Funga kazi ndani ya Azam FC kwa Septemba 29 ilikuwa dhidi ya Mashujaa ugenini baada ya dakika 90 ubao wa Lake Tanganyika ulisoma Mashujaa 0-0 Azam FC hivyo…