SINGIDA BLACK STARS DHIDI YA YANGA KIVUMBI

FT: UWANJA wa New Amaan Complex

Ligi Kuu Bara

Singida Black Stars 0-1 Yanga

Pacome goal dk 64.

 

Kivumbi kwa wababe wawili ndani ya Uwanja ambao hawajapoteza mchezo huku kila timu ikibainisha kwamba inahitaji pointi tatu muhimu ndani ya uwanja.

Singida Black Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems ameweka wazi kuwa wanatambua mchezo utakuwa mgumu lakini mpango mkubwa ni kupata pointi tatu muhimu.

Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa wanahitaji ushindi kwenye mchezo wao ambao utakuwa na ushindani mkubwa.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.