
JKT TANZANIA WAPATA AJALI WATOKEA DODOMA KWENYE MCHEZO WA LIGI KUU DHIDI YA DODOMA JIJI
Basi la timu ya JKT Tanzania FC likiwa na wachezaji, benchi la ufundi na wafanyakazi wengine wa timu, likitokea Dodoma kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Dodoma Jiji, limepata ajali na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine waliokuwemo kwenye basi hilo. Basi hilo likiendeshwa na MT 92327…