LIGI Kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Oktoba 26, 2024 kwa michezo mitatu huku Mabingwa watetezi, Young Africans Sc wakiwa kibaruani dhidi ya Wanamangush, Coastal Union katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha mishale ya saa 10:15 jioni.
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA DHIDI YA COASTAL UNION
