Wanaume 22 wapo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha kusaka pointi tatu muhimu ambapo ni Coastal Union dhidi ya Yanga ambao ni mabingwa watetezi.
Yanga kipa wake namba moja Djigui Diarra hayupo kutokana na adhabu ya kadi tatu za njano ni Abobhakar Koemen ameanza kikosi cha kwanza.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, TUNAOMBA ODA kukipata 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.