
COASTAL UNION V YANGA, MSAKO WA POINTI TATU
FT: Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Coastal Union 0-1 Yanga Ligi Kuu Bara Jean Baleke Goal dk 24. Oktoba 26 2024 Wanaume 22 wapo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha kusaka pointi tatu muhimu ambapo ni Coastal Union dhidi ya Yanga ambao ni mabingwa watetezi. Yanga kipa wake namba moja Djigui Diarra hayupo kutokana na…