Singida Black Stars imeendelea kujichimbia zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Fountain Gate Fc katika dimba la CCM Liti, Singida.
Black Stars wamefikisha pointi 22 baada ya mechi 8 za Ligi huku wakiendelea kusalia kileleni huku Fountain Gate Fc wakisalia nafasi ya nne pointi 16 baada ya mechi 9.
FT: Singida BS 2-0 Fountain Gate FC
⚽ Bada 54’
⚽ Lyanga 65’